Monday, December 10, 2012

Musical Interlude of the day

LINK

Lyrics

Bwana Yesu, Bwana Yesu | My Lord Jesus, Lord Jesus
Kimbilio langu, ni wewe Baba | You are my safe haven Lord
Tumaini langu, liko kwako Yaweh |My hope is on you Yahweh
Mimi sina uwezo, sina Bwana mwingine ila wewe | I don’t have the might, I don’t have another Lord but you
Mimi sina uwezo, sina Bwana mwingine ila wewe | I don’t have the might, I don’t have another Lord but you
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu | You are my father, my close help
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu | You are my father, my close help

No comments: